Nenda kwa yaliyomo

Mayda Doris Henderson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mayda Doris Henderson (3 Februari 19283 Septemba 2015, mjini Cape Town) alikuwa mtaalamu wa mimea, mtaalamu wa usambazaji wa mimea kijiografia, na mtaalamu wa uainishaji wa viumbe hai kutoka Afrika Kusini. Alisoma katika Chuo Kikuu cha Rhodes na alijulikana zaidi kwa makala zake zilizochapishwa katika jarida la Kirkia; The Zimbabwe Journal of Botany. Pia Mayda alitunukiwa nishani ya Medali ya Kusini mwa Afrika [1] [2] [3] [4] [5] [6]

  1. "Mayda Doris Henderson". Bionomia. 3 Februari 1928. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-01-19. Iliwekwa mnamo 22 Aprili 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Burkhardt, Lotte (6 Juni 2018). Directory of eponymous plant names - extended edition. Index of Eponymic Plant Names - Extended Edition. Index de Noms éponymiques des Plantes - Édition augmentée. ISBN 978-3-946292-26-5.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Figueiredo, E.; Smith, G.F. (2021). "Women in the first three centuries of formal botany in southern Africa". Blumea. 3 (66): 302. doi:10.3767/blumea.2021.66.03.10.
  4. "Harvard University Herbaria & Libraries - Search: Mayda Doris Henderson". Harvard University Herbaria. Iliwekwa mnamo 25 Aprili 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Henderson, Mayda Doris on JSTOR". plants.jstor.org. Iliwekwa mnamo 5 Februari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Deceased 2015". Rhodes University – Where leaders learn. 8 Agosti 2016. Iliwekwa mnamo 22 Aprili 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mayda Doris Henderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.