Nenda kwa yaliyomo

Maximos IV Sayegh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maximos IV Sayegh (au Saïgh; 10 Aprili 1878 – 5 Novemba 1967) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki la Kimelkiti aliyekuwa Patriarki wa Antiokia na Mashariki yote, Aleksandria, na Yerusalemu kuanzia mwaka 1947 hadi kifo chake mwaka 1967.

Alikuwa mmoja wa waasisi wa Mtaguso wa pili wa Vatikani, ambapo alisisitiza maridhiano kati ya Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi la Mashariki. Mwaka 1965, alikubali cheo cha Kardinali, baada ya Papa Paulo VI kufafanua umuhimu wa cheo hicho kwa patriarki wa Makanisa ya Mashariki.[1]

  1. ↑ "SAIGH, M.S.S.P., Maximos IV". The Cardinals of the Holy Roman Church. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Januari 2014. Iliwekwa mnamo 4 Novemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.