Maximilian von Fürstenberg
Mandhari

Maximilian Louis Hubert Egon Vincent Marie Joseph von Fürstenberg-Stammheim (23 Oktoba 1904 – 22 Septemba 1988) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki na alihudumu kama Mkuu wa Idara ya Makanisa ya Mashariki.[1]

Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Cardinal de Furstenberg Dies in Belgium at 83". The New York Times. 24 Septemba 1988.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |