Max Kramer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Dk Max Kramer (Cologne, Ujerumani, 8 Septemba 1903 - Pacific Palisades, California, Marekani, Juni 1986) alikuwa mwanasayansi wa Ujerumani aliyefanya kazi katika kampuni ya chuma na silaha ya Ruhrstahl AG. Alikuwa na jukumu la ujenzi wa Fritz X na makombora ya Ruhrstahl X-4 katika miaka ya 1943-1947.

Kramer alipata shahada ya uhandisi wa umeme katika Chuo Kikuu cha Ufundi cha Munich mwaka wa 1926 na alipata udaktari wake katika katika Chuo Kikuu cha Aachen mwaka 1931.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Max Kramer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.