Max Kouguere
Mandhari
Max Martial Kouguère (alizaliwa tarehe 12 machi 1987) ni raia wa Afrika ya kati mchezaji mpira wa kikapu ambaye mara ya mwisho alichezea timu ya Phoenix Brussels. Pia mchezaji wa timu ya taifa Jamhuri ya Afrika ya kati.[1][2]
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Kabla ya kusaini Olympique Antibes msimu wa 2009-10, Kouguère alichezea timu ya Ufaransa ya BCM Gravelines. Mara chache aliona, akicheza kwa dakika 64 pekee katika michezo 11 kakati msimu. Licha ya hayo, Kouguère wa futi 6 na inchi 6 (1.98 m) alipata wafuasi wengi nchini Ufaransa kupitia uwezo wake wa kucheza danki na katika mashindano kadhaa nchini Ufaransa.[3][4]
Tarehe 23 Septemba 2021, Kouguere alisaini klabu ya Ubelgiji Phoenix Brussels.[5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-06. Iliwekwa mnamo 2022-09-03.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-06. Iliwekwa mnamo 2022-09-03.
- ↑ http://www.slamonline.com/online/blogs/the-links/2008/01/links-lall-star-2007/
- ↑ https://web.archive.org/web/20110710164907/http://www.ebloggy.com/blog.php?username=eurob2&id=3&entry=17
- ↑ https://www.bruzz.be/sport/max-kouguere-nieuwste-aanwinst-phoenix-brussels-2021-09-23