Mavis Nkansah Boadu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mavis Nkansah Boadu

Amezaliwa 17 Mei 1989
Ghana
Nchi Ghana
Kazi yake Mwanasiasa


Mavis Nkansah Boadu ( 17 Mei 1989 ) ni mwanasiasa wa Ghana na Mbunge wa jimbo la Afigya Sekyere Mashariki katika Mkoa wa Ashanti katika bunge la 7 na 8 la awamu ya nne ya Jamhuri ya Ghana[1]. Yeye ni mwanachama wa New Patriotic Party[2].

Maisha na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Boadu alizaliwa tarehe 17 Mei 1989 huko Wiamoase, Mkoa wa Ashanti. Alipata elimu yake ya sekondari huko Achimota School.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mavis Nkansah Boadu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.