Nenda kwa yaliyomo

Mavis Hawa Koomson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mavis Hawa Koomson (alizaliwa 3 Februari 1966) ni mwanasiasa na mwalimu wa Ghana. Alihudumu kama Mbunge katika Bunge la sita, la saba na la nane la Jamhuri ya Nne ya Ghana akiwakilisha Jimbo la Awutu Senya East katika Mkoa wa Kati kwa tiketi ya chama cha New Patriotic Party (NPP).[1][2]

  1. ↑ Prince, Akpah. "LIST OF THE 29 WOMEN IN PARLIAMENT" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2016-09-15.
  2. ↑ "Your actions will have 'collateral implications' - Baako roasts Hawa Koomson". ghanaweb. (kwa Kiingereza). 2020-07-22. Iliwekwa mnamo 2020-07-23.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mavis Hawa Koomson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.