Nenda kwa yaliyomo

Mauro Aguirre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mauro Nicolás Aguirre Miño (alizaliwa tarehe 21 Aprili 1990) ni mchezaji wa soka kutoka Argentina anayekipiga katika nafasi ya beki wa kushoto wa pembeni. Klabu ya mwisho aliyochezea ni Deportes Santa Cruz inayoshiriki Ligi ya Primera B nchini Chile.

Aguirre alizaliwa San Luis, Argentina, na alianza taaluma yake ya soka akiwa na klabu ya Juventud Unida Universitario ya mji alikozaliwa.

Mwaka 2016, alihamia Chile na kujiunga na klabu ya Iberia. Katika nusu ya pili ya mwaka huo huo, alihamia Coquimbo Unido.

[1][2][3][4]

  1. "Los "Mauros" llegan a reforzar este Deportes Santa Cruz 2022". Sextasur (kwa Kihispania). 7 Februari 2022. Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2024.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Pérez, Juan Carlos (11 Juni 2016). "Coquimbo Unido se refuerza de cara a la Primera B y Copa Chile con jóvenes promesas albas". BioBioChile (kwa Kihispania). Radio Bío-Bío. Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2024.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Santa Cruz confirma la vuelta de un viejo conocido". PrimeraBChile.cl (kwa Kihispania). 3 Februari 2022. Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2024.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Confirmado Mauro Aguirre !!". www.facebook.com (kwa Kihispania). Tribuna Unionista. 7 Machi 2018. Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2024.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mauro Aguirre kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.