Maurice Sendak
Mandhari
Maurice Bernard Sendak (10 Juni 1928 - 8 Mei 2012) alikuwa mwandishi na mchoraji wa vitabu vya watoto kutoka Marekani. Wazazi walikuwa Mpolandi na Myahudi. Utoto wake uliathiriwa na vifo vya wanafamilia wake wengi wakati wa Mauaji ya kimbari. Sendak alichora vitabu vyake mwenyewe pamoja na vile vya waandishi wengine, kama vile mfululizo wa Little Bear na Else Holmelund Minarik.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Bruni, Frank (Mei 24, 2007). "Glynn, Eugene David, M.D." The New York Times.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maurice Sendak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |