Maurice Roy
Mandhari
Maurice Roy CC OBE (25 Januari 1905 – 24 Oktoba 1985) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki la Kanada, aliyehudumu kama Askofu Mkuu wa Quebec kuanzia 1947 hadi 1981. Alipandishwa kuwa kardinali mwaka 1965.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ TIME Magazine. Youth in the Archbishopric June 16, 1947
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |