Maunzi
Mandhari
Maunzi ni dutu au mchanganyiko wa dutu ambayo huunda kitu[1]. Maunzi yanaweza kuwa tupu au katika mchanganyiko, hai au yasiyo hai. Maunzi yanaweza kuainishwa kwa misingi ya hali ya kimaumbile na kemikali, au kwa asili yao ya kijiolojia au matumizi ya kibiolojia . Sayansi ya maunzi ni utafiti wa maunzi, sifa na matumizi yake.
Mifano ya maunzi muhimu ni:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Irira, S. D. (1995). Kamusi awali ya sayansi na tekinolojia. Ben & Company, Limited. ISBN 978-9976-920-44-4.
| Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maunzi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |