Matthias Ginter
Mandhari

Matthias Lukas Ginter (matamshi ya Kijerumani: [maˈtiːas ˈɡɪntɐ]; alizaliwa 19 Januari 1994) ni mchezaji wa soka wa kulipwa wa Ujerumani anayocheza katika nafasi ya beki wa kati kwa klabu ya Bundesliga SC Freiburg.
Maisha Binafsi
[hariri | hariri chanzo]Mnamo Mei 2018, Ginter alimuoa mke wake Christina. Mnamo 2020, walipata mtoto wa kiume, ambaye alizaliwa katika siku ya kuzaliwa ya Ginter mwenyewe, yaani 19 Januari.
Mnamo Oktoba 2021, klabu ambayo Ginter alianza nayo maisha yake ya soka, SC March, ilibadilisha jina la uwanja wake na kuuita “Matthias-Ginter-Sportpark” kwa heshima yake.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.fussballdaten.de/person/matthias-ginter/
- ↑ https://www.olympics.com/en/athletes/matthias-ginter
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Matthias Ginter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |