Nenda kwa yaliyomo

Matthew Shija

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Askofu Mathayo Shija akimsalimia mtoto Samson Aloyce baada ya komunio ya kwanza mwaka 1998. Kutoka kushoto kwenda kulia ni Marehemu Mhashamu Askofu Mathayo Shija, katikati ni Mchungaji Joseph Manoja na kulia ni Mchungaji Isaya Bahati.

Matthew Shija (17 Aprili 19249 Desemba 2015) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Tanzania.

Alizaliwa Puge, Tanzania, na alipadrishwa tarehe 17 Januari 1954. Shija aliteuliwa kuwa askofu wa Jimbo Katoliki la Kahama mnamo 11 Novemba 1983, na aliteuliwa rasmi kuwa askofu tarehe 26 Februari 1984.

Alifanya huduma hiyo hadi alipojiuzulu tarehe 24 Aprili 2001, baada ya kufikia umri wa kustaafu kulingana na Sheria za Kanisa Katoliki.[1]

  1. Profile Archived 2015-12-22 at the Wayback Machine, Catholic-Hierarchy.org; accessed 24 December 2015.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.