Nenda kwa yaliyomo

Matteo Zuppi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Matteo Maria Zuppi (alizaliwa 11 Oktoba 1955) ni kardinali wa Kanisa Katoliki la Italia ambaye amekuwa Askofu Mkuu wa Bologna tangu 12 Desemba 2015. Kabla ya hapo, alihudumu kama askofu msaidizi wa Roma kuanzia 2012 hadi 2015.

Papa Fransisko alimpa nafasi ya kardinali mwaka 2019. Tangu Mei 2022, Zuppi amekuwa rais wa Baraza la Maaskofu la Italia.[1]

  1. Allen Jr., John L. (16 Januari 2022). "Friendship between cardinal and politician cemented comeback of 'Bologna school'". Crux. Iliwekwa mnamo 17 Januari 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.