Nenda kwa yaliyomo

Mathieu Flamini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mathieu Pierre Flamini (alizaliwa 7 Machi 1984) ni mjasiriamali wa Ufaransa na mchezaji wa zamani wa soka la kulipwa. Akiwa kiungo, alicheza katika klabu ya Marseille nchini Ufaransa, Arsenal na Crystal Palace nchini Uingereza, Milan nchini Italia, na Getafe nchini Hispania.

Katika ngazi ya kimataifa, Flamini aliichezea timu ya taifa ya Ufaransa mara tatu.

Flamini ni mmoja wa waanzilishi wa GF Biochemicals, kampuni inayojulikana kuwa ya kwanza duniani kufanikiwa kuzalisha asidi ya levulinic kwa kiwango kikubwa cha kibiashara.

Maisha ya Klabu

[hariri | hariri chanzo]

Marseille

Flamini alizaliwa Marseille, Ufaransa, na alianza maisha yake ya soka katika timu ya vijana ya klabu yake ya nyumbani, Marseille.

Alicheza mechi yake ya kwanza katika timu ya wakubwa tarehe 20 Desemba 2003, katika ushindi wa 1–0 dhidi ya Toulouse.[1][2]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2026-03-01. Iliwekwa mnamo 2026-08-09.
  2. https://web.archive.org/web/20151120075317/http://www.fifa.com/fifa-tournaments/players-coaches/people=214567/index.html
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mathieu Flamini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.