Mathibe Mohlala
Mandhari
Mathibe Rebecca Mohlala ni mwanasiasa wa Afrika Kusini ambaye alichaguliwa kuwa Mbunge wa Bunge la Taifa kupitia chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) mwaka 2019.
Tangu kuingia bungeni, amehudumu katika Kamati ya Kudumu ya Fedha (Standing Committee on Finance).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Standing Committee on Finance". Parliament of South Africa. Iliwekwa mnamo 4 Desemba 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mathibe Mohlala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |