Nenda kwa yaliyomo

Mathayo Carreri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mathayo Carreri, O.P. (14205 Oktoba 1470) alikuwa mtawa padri anayejulikana kwa "ukali wa maisha yake." Alikuwa kiongozi wa kiroho wa Stefana de Quinzanis, na kama yeye, anajulikana kuwa alijaliwa alama za majeraha ya Yesu (stigmata).[1]

Alizaliwa Giovanni Francesco Carreri katika mji wa Mantova karibu na mwaka 1420. Aliitwa jina la Matteo alipokuwa akiingia katika Shirika la Wadominiko. Mafanikio yake baadaye kama mhubiri yalikuwa wazi, na yanahusishwa na muda mwingi aliotumia katika mazoezi ya kiroho na kutafakari kati ya kuhubiri.[2][3]

Papa Sisto IV alimtangaza mwenye heri mwaka 1482.

  1. "The Friars Preachers: From the Origins to Savonarola". Dictionnaire de Spiritualité. Personal site of Benedict M. Ashley, O.P. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-12-22. Iliwekwa mnamo 2007-04-08.
  2. Butler's Lives of the Saints
  3. For an account of this story in Carreri's life, see Mores Catholici, Or, Ages of Faith by Kenelm Henry Digby (pp. 347-348).
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.