Mateusz Morawiecki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mateusz Morawiecki Prezes Rady Ministrów (cropped).jpg

Mateusz Jakub Morawiecki (amezaliwa 20 Juni 1968) ni mchumi, mwanahistoria, na mwanasiasa ambaye amekuwa Waziri Mkuu wa Poland tangu Desemba 2017.

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mateusz Morawiecki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.