Nenda kwa yaliyomo

Mateo Acosta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mateo Agustín Acosta (alizaliwa 22 Septemba 1992) ni mchezaji wa kandanda wa kulipwa kutoka Argentina anayekipiga katika klabu ya Estudiantes de Buenos Aires.

Kazi yake ya soka ilianza msimu wa 2013–2014 alipochezea Tiro Federal katika mashindano ya Torneo Argentino B, ambapo mshambuliaji huyo alifunga mabao 13 katika mechi 24.[1][2][3][4]

  1. "Ficha Estadistica de MATEO ACOSTA". BDFA. Iliwekwa mnamo 18 Januari 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Argentina - M. Acosta". Soccerway. Iliwekwa mnamo 18 Januari 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Las altas y las bajas de Alianza Petrolera para la temporada 2017". Vanguardia. 22 Desemba 2016. Iliwekwa mnamo 18 Januari 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Mateo Acosta encuentra equipo: jugará en Almagro". BeSoccer. 9 Februari 2017. Iliwekwa mnamo 18 Januari 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mateo Acosta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.