Masuada Karokhi
Mandhari
| Masuada Karokhi | |
|---|---|
| Majina mengine | Mrs. Karukhi Masuda |
| Uraia | Afghanistan |
| Kazi yake | Mwanasiasa, Mwanaharakati, Muelimishaji |
| Anajulikana kwa ajili ya | Mpokeaji wa Tuzo ya N-Peace |
Masuada Karokhi (alizaliwa 1962) ni mwanaharakati wa amani wa Afghanistan, mtetezi wa haki za wanawake na mshindi wa Tuzo ya N-Peace mnamo 2013. [1] [2]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Karokhi pia alikuwa mbunge. Aligombea mara mbili kuwa mbunge wa Baraza la Chini kwa ajili ya Herat, mwaka wa 2005 na 2010,[3] Alishinda mwaka wa 2010.[4]
Kama mwanaharakati wa haki za wanawake alikuwa akipokea vitisho mara kwa mara lakini hakukata tamaa kupigania na kutetea haki za wanawake hasa nchini Afghanistan.. Elimu kwa Wanawake na Wasichana ilipopigwa marufuku nchini Afghanistan, alianza masomo ya bure kwa siri kwa Wanawake na Wasichana maskini.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "AFGHANISTAN: Afghan Woman Announced as a Winner of the 2013 N-Peace Awards". PeaceWomen (kwa Kiingereza). 3 Februari 2015. Iliwekwa mnamo 5 Septemba 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "100 Asian peace champions gather to honor women heroes from conflict zones". UNDP in Asia and the Pacific (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Oktoba 2020. Iliwekwa mnamo 5 Septemba 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Masouda Karokhi declared 2013 N-Peace Award winner from Afghanistan". The Khaama Press News Agency. 31 Julai 2013. Iliwekwa mnamo 5 Septemba 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - 1 2 "Masuada Karokhi". N-PEACE. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Juni 20, 2018. Iliwekwa mnamo 5 Septemba 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)