Cosmas Masolwa Masolwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Masolwa Cosmas Masolwa)

Cosmas Masolwa Masolwa (amezaliwa tar. 20 Aprili 1962) ni mbunge wa jimbo la Bububu katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Cosmas Masolwa Masolwa". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.  Unknown parameter |= ignored (help)