Maski ya Epa
Mandhari


Maski ya Epa ni barakoa ya sherehe inayovaliwa na Wayoruba wa Nigeria wakati wa tamasha la Epa. Michoro inayowakilisha makuhani, wawindaji, wakulima, wafalme na wake huzidi kuonyeshwa kwenye Maski hizo. Zinatumika kutambua nafasi muhimu ndani ya jamii, kuheshimu wale wanaofanya nafasi hizo pamoja na mababu waliyochukua nafasi hizo zamani.
Wakati hazitumiwi katika maonyesho, Maski ya Epa huhifadhiwa kwenye madhabahu ya kidini ambapo huwa kitovu cha sala na sadaka kutoka kwa wazee wa jamii.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Forde, D. (1951). Yoruba Speaking People of Southwest Nigeria. London: International African Institute.
- ↑ Akintoye, S. A. (1969). "The North-Eastern Yoruba Districts and the Benin Kingdom". Journal of the Historical Society of Nigeria. 4 (4): 539–553. JSTOR 41856778.
- ↑ Shelton, Anthony (1998). "A Yoruba Epa Mask by Fasiku Alaye". Journal of Museum Ethnography. 10. Museum Ethnographers Group: 121–124.
| Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maski ya Epa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |