Maselmo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Maselmo (pia: Markulf; alifariki Deventer, Frisia, leo nchini Uholanzi, 762 hivi) alikuwa mmonaki Mbenedikto tena padri kutoka Northumbria (Uingereza) maarufu kwa umisionari wake alioufanya na Lebuini wa Deventer chini ya Wilibrodi[1][2].

Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Julai [3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.