Masako Owada
Mandhari
Masako (雅子; alizaliwa kama Masako Owada (小和田雅子 Owada Masako) tarehe 9 Desemba 1963) ni Empress wa Japani kama mke wa Emperor Naruhito.
Alizaliwa katika Minato, Tokyo, Masako alipata elimu katika Belmont High School huko Massachusetts, Marekani, kabla ya kujiunga na Harvard College.[1] Pia alisomea sheria katika Chuo Kikuu cha Tokyo na mahusiano ya kimataifa katika Balliol College, Oxford. Baada ya kumaliza masomo yake, alifanya kazi kama mwanadiplomasia katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Japani.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ["Empress Masako: The Japanese princess who struggles with royal life". BBC News (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2019-05-01. Iliwekwa mnamo 2021-01-24.
{{cite news}}: Check|url=value (help)](https://www.bbc.com/news/world-asia-48118128|access-date=2021-01-24}}[dead link])
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Masako Owada kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |