Masakazu Morita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Masakazu Morita
森田 成一
Jina la kuzaliwa 森田 成一 (Morita Masakazu)
Alizaliwa 21 Oktoba 1972 (1972-10-21) (umri 51)
Kafariki {{{kafariki}}}
Kazi yake Seiyū, actor
Miaka ya kazi {{{miaka ya kazi}}}
Tovuti Rasmi {{{tovuti}}}

Masakazu Morita|森田 成一|Morita Masakazu ni mwigizaji na seiyū alizaliwa tarehe 21 Oktoba 1972, huko Tokyo, Ujapani. Hivi sasa anafanya kazi na Aoni Productions. Yeye pia ni mtangazaji wa kipindi cha Bleach B-Station cha redio. Morita afaamika sana kwa jukumu lake kama Ichigo Kurosaki (Bleach), Tidus (Final Fantasy X), Auel Neider (Gundam Seed Destiny), Pegasus Seiya (Saint Seiya Hades: Chapter Inferno), na Troy Bolton (Toleo ya kijapani wa High School musical na High School Musical 2).

Kulingana na mwandishi wa Bleach Tite Kubo, ni "mwenye nguvu nyingi", lakini "mtu anayependa marafiki na aliyewazi na watu".

Majukumu[hariri | hariri chanzo]

Majukumu ya Anime na TV[hariri | hariri chanzo]

 • Aqua Kids (Juno)
 • Baccano! (Claire Stanfield)
 • Beck (Hyoudou Masaru)
 • Bleach (Ichigo Kurosaki,|Bleach (Ichigo Kurosaki, Hollow Ichigo)
 • Case closed (Fukuma Ryosuke kipindi cha 419 na 420)
 • Dragon Ball: Yo! Son Goku and His Friends Return!! (Tarble)
 • Diamond Daydreams (yuu)
 • Edeni of the East (Ryo Yūki)
 • Final Fantasy VII Advent Children - motion actor
 • Interlude (Nameless)
 • Kiniro no Corda (Kazuki Hihara)
 • Kite Liberator (rin Gaga)
 • Marginal Prince (Alfred Visconti)
 • Kidou Senshi Gundam SEED Destiny (Auel Neider)
 • Major (Sato Toshiya)
 • One Piece (Marco)
 • Onmyou Taisenki (Yakumo Yoshikawa)
 • Prince Of Tennis (Tashiro)
 • Ring ni kakero (Ryuji Takane)
 • Sengoku Basara (Maeda Keiji)
 • Saint Seiya: Hades Chapter (Pegasus Seiya)

Majukumu ya Michezo[hariri | hariri chanzo]

 • Bleach: Shattered Blade (Ichigo Kurosaki)
 • Bakumetsu Renka Shinsengumi (Kondo Hasami)
 • Final Fantasy X (Tidus)|Final Fantasy X (Tidus)
 • Final Fantasy X-2 (Tidus), (Shuyin)
 • Kingdom Hearts (Tidus)
 • Kiniro no Corda series (Hihara Kazuki)
 • Riviera: The Promised Land Riveria: The Promised Land (Ledah)
 • Yo-Jin-Bo: The Bodyguards (Yozaburo Shiraanui)
 • Sengoku Basara 2 (Maeda Keiji)
 • Summon Night: Swordcraft Story 2 (Loki)
 • Dynasty Warriors 5 (Pang De)
 • Tokimeki Memorial Girl's Side: 2nd Kiss (Saeki teru)
 • Dissidia: Final Fantasy (Tidus)(Tidus)
 • Transfoma Armada Mchezo (Hot Shot)
 • Puyo Puyo! 15th Anniversary (Schezo Wegey)

Majukumu ya kuigiza.[hariri | hariri chanzo]

 • Special A (Tadashi Karino)
 • Superior (Lakshri)

Majukumu ya kudabu.[hariri | hariri chanzo]

 • High School Musical (Troy Bolton)
 • High School Musical 2 (Troy Bolton)

Maelezo mengine.[hariri | hariri chanzo]

 • Alishinda "Best Rookie Actor" katika Seiyū Awards kwa jukumu lake kama Ichigo Kurosaki
 • Jina lake hutafsiriwa vibaya wakati mwingine kama Seiichi Morita. Suala mmoja ya mhuska Ichigo, anaye igizwa na Morita ni ana tabia ya kutafsiri majina ambayo yameandikwa vibaya.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]