Mary Botsford
Mandhari
Mary Elizabeth Botsford (1865–1939) alikuwa miongoni mwa madaktari wa kwanza wa anesthesiology (udaktari wa usingizi) nchini Marekani. Alianza kufanya kazi ya udaktari mwaka 1897 na alikuwa mkuu wa idara ya anesthesiology katika Chuo Kikuu cha California, San Francisco (UCSF). Anaaminika kuwa mwanamke wa kwanza kuwa daktari bingwa wa anesthesiology nchini Marekani na pia daktari wa kwanza wa taaluma hiyo katika jimbo la California.[1]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Botsford alihitimu kutoka shule ya tiba ya Chuo Kikuu cha California (sasa Chuo Kikuu cha California, San Francisco) mwaka 1896[2] na akapata mafunzo katika Hospitali ya Watoto ya San Francisco.[3] Alianza kufanya kazi mwaka uliofuata kama mmoja wa madaktari wa kwanza wa anesthesiology nchini humo.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Calmes, Selma Harrison. [(https://web.archive.org/web/20230123180248/https://www.csahq.org/docs/default-source/history-of-anesthesia-articles/history-articles/calmes-the-women-physician-anaesthetists-of-san-francisco-1989.pdf?sfvrsn=e65c146_2) "A History of Women in American Anesthesiology"] (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [(http://www.csahq.org/docs/default-source/history-of-anesthesia-articles/history-articles/calmes-the-women-physician-anaesthetists-of-san-francisco-1989.pdf?sfvrsn=e65c146_2) chanzo] (PDF) mnamo 23 Januari 2023. Iliwekwa mnamo 15 Oktoba 2020.
{{cite web}}: Check|archive-url=value (help); Check|url=value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ [(http://texts.cdlib.org/view?docId=hb867nb542&doc.view=frames&chunk.id=div00003&toc.depth=1&toc.id=) "University of California: In Memoriam, 1939"]. texts.cdlib.org. Iliwekwa mnamo 15 Oktoba 2020.
{{cite web}}: Check|url=value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Eger (2013). The Wondrous Story of Anesthesia.
- ↑ [(http://www.asaabstracts.com/strands/asaabstracts/abstract.htm?year=2005&index=14&absnum=766) "Characteristics of an Early Anesthesia Practice: Dr. Mary Botsford of San Francisco, 1916-1937"]. [www.asaabstracts.com](http://www.asaabstracts.com). Iliwekwa mnamo 15 Oktoba 2020.
{{cite journal}}: Check|url=value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)