Mary Bookstaver

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mary A. Bookstaver; (18751950) alikuwa mwanaharakati wa wanawake, mwanasiasa, na mhariri, anajulikana sana kwa jina la utani la "May".

Binti wa jaji Henry W. Bookstaver na Mary Baily Young, alisomea shule ya Miss Florence Baldwin na kuhitimu kutoka chuo cha kati cha Bryn Mawr College mwaka 1898 katika masuala ya historia na sayansi ya siasa. Baada ya kuhitimu alihamia Baltimore, Maryland.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mary Bookstaver kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.