Martin Zubimendi
Mandhari

Martín Zubimendi Ibáñez (alizaliwa 2 Februari 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania ambaye anacheza kama kiungo mkabaji wa klabu ya Arsenal FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) na timu ya taifa ya Uhispania.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce4/pdf/SquadLists-English.pdf
- ↑ "Real Sociedad". www.realsociedad.eus (kwa Kiingereza). 2016-09-31. Iliwekwa mnamo 2025-08-02.
{{cite web}}: Check date values in:|date=(help)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Martin Zubimendi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |