Nenda kwa yaliyomo

Martin Snape

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Martin Snape (Desemba 31, 1852Novemba 24, 1930) alikuwa mchoraji wa Uingereza wa enzi ya Malkia Victoria na Edward VII[1].

  1. "Contact – Gosport Voluntary Action".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martin Snape kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.