Martin Heidegger
Mandhari

Martin Heidegger (26 Septemba 1889 – 26 Mei 1976) alikuwa mwanafalsafa wa Ujerumani. Kitabu chake Being and Time (1927) kinahesabiwa na wengi kati ya vile muhimu zaidi katika falsafa ya karne ya 20, lakini uhusiano wa Heidegger na siasa ya Wanazi umesababisha majadiliano mengi.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Martin Heidegger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |