Nenda kwa yaliyomo

Martin Dewey McNamara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Martin Dewey McNamara (12 Mei 1896 - 23 Mei 1966) alikuwa ni askofu kutoka Marekani wa Kanisa Katoliki.

Alihudumu kama askofu wa kwanza wa Dayosisi mpya ya Joliet huko Illinois kutoka 1949 hadi kifo chake mnamo 1966.[1]

References

[hariri | hariri chanzo]
  1. "DIOCESE AT JOLIET CREATED BY POPE; 3 Named Bishops in Illinois, at New See, at Springfield and to Aid Cardinal". timesmachine.nytimes.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-06-07.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.