Martin Dada Abejide Olorunmolu
Mandhari
Martin Dada Abejide Olorunmolu (alizaliwa 30 Agosti 1948 huko Ogiri-Kabba) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Nigeria na askofu wa Jimbo Katoliki la Lokoja.
Aliteuliwa kuwa askofu mwaka 2005.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Diocese of Lokoja". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2022-06-09.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |