Nenda kwa yaliyomo

Martin Andjaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Martin Andjaba (amezaliwa 17 Desemba 1957 huko Onhokolo) ni mwanadiplomasia na mwanasiasa wa Namibia.

Kwa sasa ni balozi wa Namibia nchini Ujerumani.[1]

  1. ↑ "NEW PERMANENT REPRESENTATIVE OF NAMIBIA PRESENTS CREDENTIALS". www.un.org. Iliwekwa mnamo 2026-05-21.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martin Andjaba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.