Nenda kwa yaliyomo

Marta Bach

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marta Bach Pascual (alizaliwa 17 Februari 1993) ni mchezaji wa kike wa mpira wa mikono majini kutokea Hispania. Ana urefu wa futi 5 na inchi 9.

Mchezaji wa polo wa maji wa Uhispania
Mchezaji wa polo wa maji wa Uhispania

Alishindania timu ya taifa ya wanawake ya Uhispania ya mchezo wa mpira wa mikono majini katika michezo ya Olimpiki ya majira ya joto 2012,[1] na mashindano ya dunia ya majini ya 2017.[2]

  1. "Marta Bach Pascual - Water Polo - Olympic Athlete | London 2012". web.archive.org. 2013-03-18. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-18. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-18. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.