Marlene Dumas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marlene Dumas

Marlene Dumas (alizaliwa 3 Septemba 1953) ni msanii na mchoraji wa nchini Afrika Kusini ambaye kwa sasa anaishi Uholanzi . [3] [1]

Maisha na kazi[hariri | hariri chanzo]

Dumas alizaliwa mwaka 1953 huko Cape Town, Afrika Kusini na kukulia huko Kuils River katika Rasi ya Magharibi, ambapo baba yake alikuwa na shamba la mizabibu. Dumas alianza uchoraji mwaka 1973 na alionyesha wasiwasi katika siasa na kutafakari juu ya utambulisho wake kama mwanamke mweupe mwenye asili ya Kiafrikana nchini Afrika Kusini. [2] [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Marlene Dumas Pushes the Limits of Portraiture (en-US). artnet News (2015-02-04). Iliwekwa mnamo 2020-03-01.
  2. Phaidon (2019). Great women artists. Phaidon Press. p. 127. ISBN 978-0714878775. 
  3. Marlene Dumas Biography, Life & Quotes. The Art Story. Iliwekwa mnamo 2020-02-29.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marlene Dumas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.