Nenda kwa yaliyomo

Mark Edwards (askofu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mark Stuart Edwards, O.M.I. (alizaliwa 14 Juni 1959) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Australia na mtawa aliyeweka nadhiri katika Shirika la Wamisionari wa Oblati wa Maria Mkingiwa Dhambi.

Ameteuliwa kuwa Askofu wa Wagga Wagga. Kabla ya kupandishwa cheo cha uaskofu, aliwahi kuwa mwalimu na gombera.[1]

  1. "Auxiliary Bishop to Western Region: Bishop Mark Edwards". Archdiocese of Melbourne. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-03-13. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.