Mark Dacascos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mark Dacascos

Mark Alan Dacascos (alizaliwa 26 Februari 1964) ni mwigizaji wa Marekani na msanii wa maonyesho ya Kung Fu na Karate.

Mark alishinda mitindo mbalimbali ya mashindano ya Kung Fu kati ya umri wa miaka 7 na 18.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mark Dacascos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.