Nenda kwa yaliyomo

Mario Toso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mario Toso, S.D.B. (alizaliwa 2 Julai 1950) amekuwa Askofu wa Jimbo la Faenza-Modigliana tangu kuteuliwa kwake na Papa Fransisko mnamo 19 Januari 2015.

Toso alizaliwa katika mji wa Mogliano Veneto (Wilaya ya Treviso). Aliingia katika Shirika la Wasalesiani wa Don Bosco mnamo 16 Agosti 1967. Alisomea falsafa na teolojia katika Shule ya Teolojia ya Torino, ambapo alijipatia shahada ya teolojia. Alifanywa kuwa padri mnamo 22 Julai 1978.[1]

  1. "Rinunce e nomine". press.vatican.va (kwa Kiitaliano). 19 Januari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.