Nenda kwa yaliyomo

Mario Lusiani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mario Lusiani (4 Mei 19033 Septemba 1964) alikuwa mwendesha baiskeli wa Italia.

Aliweza kushinda medali ya dhahabu katika mbio za timu za wanaume katika michezo ya Olimpiki ya mwaka 1928 pamoja na Giacomo Gaioni, Cesare Facciani na Luigi Tasselli. [1][2][3]

  1. "Mario Lusiani". cycling archives. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-11-30. Iliwekwa mnamo 24 Agosti 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Mario Lusiani". www.sports-reference.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Aprili 2020. Iliwekwa mnamo 24 Agosti 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Medal Winners". www.databaseolympics.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Novemba 2012. Iliwekwa mnamo 24 Agosti 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mario Lusiani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.