Nenda kwa yaliyomo

Mario Luigi Ciappi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mario Luigi Ciappi, O.P. (6 Oktoba 190923 Aprili 1996) alikuwa askofu na kardinali wa Italia wa Kanisa Katoliki aliyekuwa mwanateolojia binafsi wa Mapapa watano kutoka mwaka 1955 hadi 1989. Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1977.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.