Nenda kwa yaliyomo

Mario Klemens

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mario Klemens (3 Oktoba 193611 Januari 2025) alikuwa kiongozi wa muziki na mwalimu wa uongozaji wa muziki kutoka Jamhuri ya Cheki. Alikuwa kiongozi wa Film Symphony Orchestra.

Klemens alifariki tarehe 11 Januari 2025 akiwa na umri wa miaka 88. [1][2]

  1. "Renowned conductor Mario Klemens passes away at 88". Radio Prague International (kwa Kiingereza). 12 Januari 2025. Iliwekwa mnamo 14 Januari 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Master of Fine Arts Mario Klemens (1936 – 2025)". www.memoryofnations.eu (kwa Kiingereza).
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mario Klemens kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.