Mario Delpini
Mandhari
Mario Enrico Delpini (alizaliwa 29 Julai 1951) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Italia ambaye amehudumu kama Askofu Mkuu wa Milano tangu mwaka 2017.
Kabla ya hapo, alihudumu kama askofu msaidizi na vilevile kama makamu wa askofu wa jimbo kuu hilo. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ (in it) Rinunce e Nomine, 13.07.2007 (Press release). Press Office of the Holy See. 13 July 2007. http://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2007/07/13/0388/01061.html. Retrieved 9 September 2017.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |