Nenda kwa yaliyomo

Marilyn Sellars

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marilyn Sellars (alizaliwa 31 Desemba, 1944) ni mwimbaji wa muziki wa country na muziki wa kikristo kutoka Marekani ambaye alikua na nyimbo maarufu kadhaa katikati ya miaka ya 1970 kwa Mega Records, maarufu zaidi ikiwa ni toleo la awali la wimbo wa "One Day at a Time " mwaka 1974.

    Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Marilyn Sellars kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.