Marijampolė

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Katikati ya mji

Marijampolė (kati ya 1955 hadi 1989: Kapsukas) ni mji nchini Lituanya. Ni mji mkubwa wa saba katika nchi wa Lituanya. Kuna wakazi 47,244 (mwaka 2007). Mji ulianzishwa 1792.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 205.07 km². Mji uko pande zote mbili za Mto Šešupė.

LietuvaMarijampole.png

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Marijampolė" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Flag-map of Lithuania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Marijampolė kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.