Nenda kwa yaliyomo

Marie Noël

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake ya uzeeni.

Marie Noël (jina la kuzaliwa: Marie-Mélanie Rouget; Auxerre, 16 Februari 1883 – 23 Desemba 1967) alikuwa mshairi, mlei mcha Mungu wa Kanisa Katoliki, na afisa wa nishani ya Légion d'honneur wa Ufaransa.[1][2] Kwa upendo mkubwa alikuwa akijulikana kama "Kidege Mpayaji wa Auxerre" (The Warbler of Auxerre).[3]

Mchakato wa kumtangaza mwenye heri umeanza, hivyo anaheshimiwa kama mtumishi wa Mungu.

  1. Estaunié (Edouard), Mshairi wa Mkoani: Marie Noël, 1957-58, uk. 1-20.
  2. Noël (Léon), Kukabidhiwa kwa Nishani ya Afisa wa Légion d'honneur kwa Marie Noël, 1959-60, uk. 366-369.
  3. Solène Tadié (11 Aprili 2020). "Mshairi wa Kike (na Anayedhaniwa Kuwa Mtakatifu wa Baadaye) Anavyoelezea Maana ya Jumamosi Kuu". National Catholic Register (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 17 Mei 2026.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marie Noël kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.