Nenda kwa yaliyomo

Marie Muilu Kiawanga Nzitani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marie Muilu Kiawanga Nzitani alikuwa mlezi wa harakati ya dini ya Kimbangu.

Marie Muilu Kiawanga Nzitani alizaliwa tarehe 7 Mei 1880 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo [1]. Mume wake Simon Kimbangu alipokamatwa mwaka wa 1921, alichukua nafasi ya mkuu wa kanisa la Kimbangui ili kuliendeleza na kuruhusu wakazi wa Kongo kuendelea kukutana. Mama Maria alikuwa na watoto watatu, akiwemo Joseph Diangienda, ambaye alikuwa kiongozi wa kiroho wa Kanisa la Kimbagu baada yake [2].

  1. "Muilu Marie (Congo)" (kwa Kifaransa). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-30. Iliwekwa mnamo 2020-12-09.
  2. UJKi_BxL. "Qui est Maman Marie Muilu Kiawanga Nzitani ?" (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2020-12-09.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.