Marie Bigot
Mandhari
Marie Kiéné Bigot de Morogues (3 Machi 1786 – 16 Septemba 1820) alikuwa mpiga piano na mtunzi wa muziki wa Ufaransa. Anajulikana zaidi kwa sonata na etyudi (études) zake.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [(https://web.archive.org/web/20130303083829/http://www.vivacepress.com/1803.html) "Vivace Press"]. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [(http://www.vivacepress.com/1803.html) chanzo] mnamo 2013-03-03. Iliwekwa mnamo 2007-07-08.
{{cite web}}: Check|archive-url=value (help); Check|url=value (help)
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marie Bigot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |