Marie-Pierre Arthur
Mandhari
Marie-Pierre Arthur ni jina la kisanii la Marie-Pierre Fournier, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za pop kutoka Quebec, Kanada.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Polaris Prize long list includes lots of Toronto bands". Toronto Star, June 14, 2012.
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marie-Pierre Arthur kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |