Marie-Elizabeth Cléry
Mandhari
Marie-Elizabeth Cléry (au Mme Duverge-Cléry)[1] née Du Verger au Du Verge (10 Novemba 1762 – 4 Agosti 1811) alikuwa mpiga kinubi (harp) na mtunzi wa muziki wa Ufaransa.
Inaaminika alizaliwa Paris na baadaye akawa mpiga kinubi katika ikulu ya malkia Marie-Antoinette.[2]
Baada ya kuolewa na Jean-Baptiste Cant-Hanet dit Cléry, alichapisha sonata tatu kwa ajili ya kinubi zenye uambatanisho wa fidla, Trois Sonates pour la Harpe ou Piano-forte avec Accompagnement de Violon (1785).[3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Claudia Schweitzer, Art. "Cléry, Marie Élisabeth", katika Lexikon "Europäische Instrumentalistinnen des 18. und 19. Jahrhunderts", 2008.
- ↑ ["ClarNan) Editions:Historic Music by Women Composers". Iliwekwa mnamo 19 Januari 2011.
{{cite web}}: Check|url=value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Sadie, Julie Anne; Samuel, Rhian (1994). [The) Norton/Grove dictionary of women composers. W. W. Norton & Company. ISBN 9780393034875. Iliwekwa mnamo 19 Januari 2011.
{{cite book}}: Check|url=value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Sadie, Stanley; Tyrrell, John (2001). The new Grove dictionary of music and musicians: Volume 6.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marie-Elizabeth Cléry kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |