Maridi (jimbo)

Maridi State | |
![]() |
|
Nchi | Sudan Kusini |
---|---|
Makao makuu | Maridi[1] |
Idadi ya kaunti | 7 |
Idadi ya manispaa | |
Serikali | |
- Gavana | Louis Lobong Lojore |
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 148,100 |
Maridi State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.
Imegawanyika katika kaunti 7: Landili County, Maridi County, Kozi County, Mambe County, Ibba County, Nabanga County na Maruko County.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Nashion, Joseph (16 February 2016). Maridi State Government Releases 40 Youth Previously Arrested In Connection To Rebellion. Gurtong. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-02-17. Iliwekwa mnamo 14 August 2016.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Maridi (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |